• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Watumishi wa Umma Nipeni Ushirikiano Tushirikiane Kuinua Maendeleo ya Mkoa wa Kagera Tupambane na Utapiamlo – Profesa Kamuzora

Posted on: January 11th, 2019

Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Kagera Profesa Faustine KamuzoRa katika siku yake ya pili katika kituo chake kipya cha kazi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera akutana na Watumishi wa ofisi yake na kuzungumza nao ambapo alitoa mwelekeo wa kutimiza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kipaumbele chake katika Mkoa wa Kagera.

Katika kikao kifupi na watumishi wa ofisi yake Januari 11, 2019 Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Kagera Profesa Kamuzora aliwaomba watumishi atakaowaongoza katika utumishi wa umma kumpa ushirikiano wa kutosha ili kuweza kutekeleza majukumu yake ya kuwaletea wananchi maendeleo na kuinua uchumi wa Mkoa wa Kagera na kuurudisha katika enzi zake.

Profesa Kamuzora akitaja kipaumbele chake katika Mkoa wa Kagera alisema kuwa ni kuona namna bora ya kupambana na suala la utapiamlo hasa kwa watoto kwani takwimu zilizopo sasa Kagera inashika nafasi ya nne kwa asilimia 41.7%  kati ya mikoa 25 Tanzania Bara ambapo takwimu hizo zinatisha sana na kupelekea udumavu hasa udumavu wa akili hususani kwa watoto.

“Kama hatutaangaika na suala hili la utapiamlo hatuwezi kusonga mbele kwasababu hata uwezo wa kufikiri hasa kwa watoto wetu ni mdogo sana utaendelea kuwa mdogo sana jambo ambalo ni hatari kubwa kwa  vizazi vya sasa na vijavyo.”  Alifafanua Profesa Kamuzola

Profesa Kamuzora aliendelea kusisitiza kuwa anajua kuna sababu nyingi zilizochangia katika kuurudisha nyuma Mkoa wa Kaegera kimaendeleo ikiwa ni pamoja na vita, Tetetemeko, ajali ya Mv Bukoba, Ugonjwa wa UKIMWI lakini alisema kuwa watumishi na wananchi kwa ujumla wanatakiwa kushikamana na kupambana kama nchi ya Rwanda walivyofanya baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na wakasonga mbele na Rwanda sasa ipo mbali kimaendeleo.

Katika upande mwingine Profesa Kamuzora alipongeza juhudi mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanywa na uongozi wa Mkoa wa Kagera katika sekta mbalimbali mfano Elimu kuwa mkoa unaendelea kufanya vizuri na taratibu unarejea enzi zake za zamani. Pia aliwaomba watumishi kuendelea kushirikiana katika kutatua changamoto mbalimbali hata za kimaendeleo ili kuufikisha mkoa mahali pake.

Mkoa wa Kagera unakabiliwa na tatizo kubwa la utapiamlo ambapo unashika nafasi ya nne kutoka mwisho kwa asilimia 41.7% ya utapiamlo na Mkoa wa Njombe ukiongoza kwa asilimia 49.4% ya utapiamlo wakati mkoa ambao una asilimia ndogo ya utapiamlo ukiwa ni Dar es Salaam ambao una asilimia 14.6% (Takwmu za mwaka 2016)

Profesa Faustine Kamuzola ni Katibu Tawala wa 20 tangu mwaka uhuru Aidha, Profesa Kamuzora aliteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Kagera na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli  Januari 8, 2019 na kuapishwa Ikulu Jijini Dar es Saalam Januari 9, 2019 na alilipoti Mkoani Kagera Januari 10, 2019 na kuanza kazi ya kutekeleza majukumu yake ya kazi mara moja.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.