• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waziri Jafo Aridhishwa Na Utekelezaji wa Miradi ya Elimu Kagera Asema Shule ya Sekondari Ihungo Viwango Vyake Hakuna Tanzania Nzima

Posted on: June 5th, 2020

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) Selemani Jafo aridhishwa na utendaji kazi  wa viongozi wa Mkoa wa Kagera wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti katika usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na  Serikali na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Waziri Jafo ameyasema hayo akiwa Mkoani Kagera Manispaa ya Bukoba katika ziara ya siku moja  Juni 5, 2020 wakati akitembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Shule za Sekondari za Rugambwa (wasichana) na shule ya Sekondari ya Ihungo (Wavulana) pia na mradi wa barabara za kilometa tano wenye gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 7.3.

Akiwa katika Shuleza Sekondari Ihungo na Rugambwa Waziri Jafo alisema kuwa ameridhishwa  sana na ukarabati wa shule hizo kongwe ulivyofanyika na kuzifanya shule hizo kuwa mpya kabisa. Pia aliwashukuru wanafunzi wa kidato cha sita katika shule hizo kutii maelekezo ya Serikali baada ya janga la ugonjwa wa KORONA kwa kurudi shule kwa asilimia 99 kuendelea na masomo yao.

Waziri Jafo aliwapongeza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kwa kutekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Ihungo kwa viwango vya hali ya juu sana ambapo alisema kuwa ubora wa majengo  ya shule hiyo ni wa kwanza nchini na kutoa rai kwa uongozi wa Mkoa wa Kagera kuacha ndoto za kugeuza shule hiyo kuwa Chuo Kikuu  badala yake wanafunzi wasome katika mazingira bora zaidi.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kagera akitoa taaarifa katika shule hizo alisema kuwa  Mkoa wa Kagera unazo shule za Sekondari za Kidato cha Tano na Sita 36 zenye wanafunzi wa kidato cha sita 3,590 na wanafunzi 3,393 tayari wameripoti katika shule hizo kuendelea na masomo yao ya kidato cha sita  wanafunzi 197  asilimia 5 bado hawajaripoti.

Ikumbukwe kuwa Serikali ilitoa zaidi ya shilingi milioni 872 kwaajili ya ukarabati wa shule ya Sekondari Rugambwa na zaidi ya shilingi  bilioni 11 kuijenga upya shule ya Sekondari Ihungo baada ya Tetemeko la Ardhi lililotokea Septemba 10, 2016 na kufanya uharibifu wa  miundombinu yote ya Shule hiyo na kulazimika kujengwa upya.

Katika hatua nyingine Waziri Jafo alitembelea na kukagua mradi wa barabara za kilometa (5) tano katika Manispaa taya Bukoba ambapo hakuridhishwa na utekelezaji wa barabara hizo kwa kusuasua na kutumia muda mrefu kukamilika ujenzi wake ambapo alitoa maagizo kwa Mkandarasi  JASCO ROAD CONSTRUCTION kuhakikisha anakamilisha kazi ya barabara zote ifikapo Juni 15, 2020 vingnevyo asipokamilisha barabara hizo hatopewa tena kazi yoyote katika Wizara yake ya TAMISEMI.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.