• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba Akiongea na Wananchi Wakati Uzinduzi wa Uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa Mkoani Kagera.

Posted on: February 16th, 2018

Waziri Mwigulu Azindua Uandikishaji Wa Vitambulisho vya Taifa Kagera,

Aagiza Jeshi la Polisi Kuchunguza Mauaji Nchini na Kutoa Taarifa.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Lameck Nchemba azindua rasmi zoezi la uandikishaji wa Vitambulisho vya Taifa Mkoani Kagera katika Kijiji cha Kasindaga Kata Kabitembe Wilayani Muleba leo Februari 16, 2018.

Katika uzinduzi huo Waziri Mwigulu aliwasisitiza wananchi kuhakikisha kila mmoja  kuanzia umri wa miaka 18 nakuendelea kujiandikisha au kutambuliwa  na kusajiliwa kwaajili ya kupata kitambulisho cha Taifa ambacho ni muhimu sana kwa kila Mtanzania kwa maisha ya kila siku.

Waziri Mwigulu alisema kuwa Kitambulisho cha Taifa ni muhimu sana kwa masuala ya kiusalama ambapo kila mwananchi atatambuliwa, Wakimbizi wote watatambuliwa na wale wote wanaotoa huduma za kiubalozi watatambuliwa na hakuna Mtanzania ambaye anatakiwa kubaki bila kutambuliwa.

Pia Waziri Mwigulu amewaasa wananchi wa Mkoa wa Kagera kuwa na wivu wa uzalendo na nchi yao na mkoa wao pia kwa kutoa taarifa sahihi  kwa wasio raia wa Tanzania  kwa kuwa Kagera kuna vivutio vingi  na  unapakana na nchi nyingi jambo ambalo linawavutia watu au wahamiaji haramu kuingia nchi jirani.

“ Katika Mahabusu za Mkoa wa Kagera kuna waharifu wenye kesi za uharifu wa kikatili kuliko mahabusu za mikoa mingine lakini ukichunguza kwa undani utagundua wahalifu hao siyo Watanzania bali ni kutoka nchi za jirani ambapo hawana huruka za Kitanzania bali ukatili tu,” Alitoa mfano Waziri Mwigulu.

Katika Hatua nyingine Waziri Mwigulu alimwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Simon Sirro kutumia vyombo vyake vyote  vya uchunguzi kuhakikisha anachunguza mauaji  ya  wananchi katika maeneo mbalimbali nchini (Akitolea mfano wa Kijana aliyeuawa Kinondoni wa chama cha CHADEMA) na baada ya uchunguzi Jeshi hilo litoe taarifa kwa wananchi ili kujua chanzo cha mauaji hayo.

Kwaniaba ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Hamelore M. Manyanga ambaye ni Kamishna wa Huduma za Sheria katika uzinduzi huo alitoa rai kwa wananchi kutoa taarifa sahihi wakati zoezi la utambuzi na usajili  wa Vitambulisho vya Taifa likiendelea. Pia aliwaasa watendaji kuhakikisha wanajiepusha na vitendo vya rushwa katika zoezi hilo vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuli kwa atakayebainika.

Aidha, Bw. Alphonce Malibicha Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vitambulisho vya Taifa kwaniaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NIDA alisema kuwa wananchi wanaotakiwa kusajiliwa ni umri kuanzia miaka 18 na kuendelea na raia wa Tanzania . Pia alisema kuwa uandikishaji unaendelea katika Mikoa 19 sasa Tanzania Bara na Kagera sasa imeongezeka baada ya kufanyika uzinduzi rasmi.

Bw. Malibicha alizitaja faida za Vitambulisho vya Taifa kuwa ni pamoja na huduma mbalimbali za kijamii, Vitambulisho vya Taifa vitatumika katika kusajili Makampuni ambapo mmiliki taarifa zake lazima zionekane kwenye kitambulisho, Vitatumika wakati wa kupata Hati ya kusafiria, Vitatumika katika mifuko ya Hifadhi za jamii katika kutoa huduma za mafao kwa wananchama wake pia na kubaini Wahamiaji Haramu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu katika uzinduzi huo alitoa maagizo kwa Watendaji wa ngazi zote kuhakikisha wanashiriki kikamilifu kufanikisha zoezi la uandikishaji  kwa kusimamia zoezi zima hasa Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya chini ya Wenyeviti wake Wakuu wa Wilaya.

Aidha, Mkuu wa Mkoa Kijuu alitoa wito kwa watendaji kutojihusisha na vitendo vya rushwa katika zoezi hilo kwani wakibainika hatua kali zitachukuliwa mara moja. Pia aliwaasa wananchi kuhakikisha wahudhuria kujiandikisha kwa muda watakaopewa na wasisubiri muda wa mwisho na kusababisha msongamano.

Mwisho Mh. Kijuu aliwaomba viongozi wa dini kuwahamasisha waamini wao kujiandikisha kila mmoja. Pia alisistiza kuwa zoezi la uandikishaji lisichukuliwe kidini wala kisiasa kwa kuwapotosha wananchi na mwisho wake baadhi yao wakabaki bila kujisajili na kupata Vitambulisho vya Taifa.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.