• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina Akiangalia Shehena ya Samaki "Kayabo" Tani 65.6 Waliokamatwa Kisiwani Lubili Wilayani Muleba Mkoani Kagera

Posted on: January 8th, 2018

Serikali Mkoani Kagera Yakamata Tani Samaki Wenye Thamani ya Zaidi ya Milioni 200 Waliovuliwa Kwanjia Haramu Kisiwani Lubili

Serikali Mkoani Kagera yakamata na kutaifisha tani 65.6 za samaki aina ya sangara wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 200 waliovuliwa kwa njia haramu na kukaushwa kwa chumvi  (samaki hao wanajulikana kwa jina maarufu kama kayabo) ambao walikuwa wanaandaliwa tayari kusafirishwa kwenda nchi za nje kwa ajili ya kuuzwa.

Samaki hao waliovuliwa kwanjia haramu ni chini ya sentimeta 50 na juu ya Sentimeta 85 yaani samki watoto na samaki wazazi ambao hawaruhusiwi kishera kuvuliwa na walikamatwa katika Kisiwa cha Lubili Wilayani Muleba  tarehe 30.12.2017 na kusombwa kuletwa katika kituo cha Maendeleo ya Uvuvi Kagera.

Kaimu Mkurugenzi  idara ya Maendeleo ya Uvuvi  Bi Mwanaidi Mlolo  akiambatana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujionea samaki hao katika kituo cha Maendeleo ya Uvuvi Kagera Januari 6, 2018 alisema  samaki hao walivuliwa kinyume na sheria namba 22 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2009. Ambapo pia sheria hiyo inatoa mamlaka ya kutaifisha vifaa vyote vilivyotumika katika zoezi zima la uvuvi haramu.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akikagua tani 65.6 za samaki hao (Kayabo) katika kituo cha Maendeleo ya Uvuvi Kagera Januari 6, 2018 alisema kuwa samaki hao walivuliwa kwanjia haramu na walitarajiwa kutoroshwa kupelekwa nchi jirani kuuzwa bila kulipiwa mrahaba wa Serikali.

Waziri Mpina aliagiza samaki hao wauzwe kwa njia ya mnada kwa wafanyabiashara wenye vibali na  leseni za kusafirisha samaki (kayabo) nje ya nchi ili  Serikali iweze kupata mapato yake. Aidha, alitoa rai kwa wafanyabiashara wa samaki kufuata kanuni, taratibu na sheria  katika kufanya biashara zao na bila kufanya uharibifu kwa kufanya uvuvi haramu.

Agizo, Mhe. Mpina aliwaagiza Watendaji chini ya Wizara yake kuhakikisha kuwa kila mfanyabiashara atakayekwenda  kuhuwisha leseni yake ili kupata leseni mpya lazima mfanyabiashara huyo awe na kibali cha kulipia kodi (Tax Clearence) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

“Kwa kuwa leseni za uvuvi hutolewa kila mwaka mwezi Januari, wafanyabiashara ambao bado hawajaomba leseni upya lazima waje na kibali cha kulilipa kodi (Tax Clearance) ndipo wapate leseni mpya. Aidha, kwa ambao tayari walikuwa wamepata leseni mpya wahakikishe wanawasilisha vibali vyao vya kulipia kodi ndipo wataendelea kuruhusiwa kufanya biashara ya samaki,” alisistiza Waziri Mpina.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu alitoa rai kwa wananchi wa mkoa wa Kagera kutoa taarifa walipojificha wahusika waliovua samaki hao katika Kisiwa cha Lubili ili Serikali iweze kuwachukulia hatua mara moja. Pia Mkuu wa Mkoa alisistiza kuwa pamoja na wahusika wa tukio hilo kutoroka lakini Serikali ina mkono mrefu itaweza kuwakamata na kuwafikisha katika mikona ya sheria.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.