• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government KAGERA REGIONAL WEBSITE

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organization Structure
    • Sections/Units
      • Sections
        • Management Monitoring and Ispection
        • Infrastructure
        • Education
          • Primary Education
          • Secondary Education
          • Adult Education
          • Higher Education
          • Sports
          • Youth
        • Health
          • Health
          • social welfare
        • Administration And HR
        • Planning & Coordination
          • Planning
          • Statistics
          • Community Development
          • TASAF
        • Economic and Production
          • Irrigation Farming
          • Commerce and Industries
          • Fishing
          • Livestock
          • Natural Resources, Tourism & Environment
          • Co operative
          • Agriculture
        • Investment Indusrty and Trade
      • Units
        • ICT
        • Legal Unit
        • Finance and Accounts
        • Internal Audit Unit
        • Procurement Unit
        • Government Communication
  • Districts
    • Bukoba
      • Bukoba Leaders
    • Biharamulo
      • Biharamulo Leaders
    • Karagwe
      • Karagwe Leaders
    • Kyerwa
      • Kyerwa Leaders
    • Missenyi
      • Missenyi Leaders
    • Muleba
      • Muleba Leaders
    • Ngara
      • Ngara Leaders
  • District Councils
    • Bukoba Municipal Council
    • Bukoba District Council
    • Biharamulo District Council
    • Karagwe District Council
    • Kyerwa District Council
    • Missenyi District Council
    • Muleba District Council
    • Ngara District Council
  • Investment Opportunities
    • Tourism Attractions
    • Farming Opportunities
    • Agricultural Opportunities
  • Services
    • Health Services
    • Education Services
    • Water Services
    • Agricultural Services
    • Farming Services
  • Publications
    • By Laws
    • Client Service Charter
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Forms
    • Guidelines
    • News Letter
  • Media Center
    • Videos
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa Kagera Machi 24, 2017

Posted on: March 24th, 2017

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa amewasili Mkoani Kagera kwa ziara ya siku tatu kuanzia tarehe 24 hadi 26  Machi, 2017 ambapo lengo la ziara yake likiwa ni kutembelea na kukagua Idara na Sekta zilizopo chini ya Wizara  yake aidha, kukagua miundombinu na kuongea na watumishi katika idara na Sekta hizo juu ya mafanikio yaliyofikiwa na kutatua changamoto mbalimbali katika uboreshaji wa huduma.

Professa Mbalawa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba alikagua uwanja huo na aliridhishwa na utendaji katika uwanja huo ambapo alisema kuwa kwasasa  kuna mafanikio makubwa na kazi inafanyika kwa ufanisi mkubwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika.

Pamoja na Professa Mbalawa kupongeza ufanisi wa kazi katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba aidha , Meneja wa uwanja huo Bi Dorice Uhagile katika taarifa yake kwa Waziri huyo  alibainisha changamoto kubwa mbili ambazo ni uwanja huo kutokuwa na kituo cha kuongozea ndege (Contro Tower) . Pili ni Jengo la Watu Mashuhuri (VIP) kujengwa katika jengo la juu ghorofani badala ya majengo ya chini.

Akijibu changamoto hizo Professa Mbalawa alisema changamoto ambayo ataipa kipaumbele na kuishughulikia kwa haraka ni kuona uwezekano wa kujenga kituo cha  kuongozea ndege kutokana na hali ya hewa ya Bukoba ili kulinda usalaama wa abiria wanaosafiri mara kwa mara kwa kutumia usafiri huo wa  ndege.

Pia Professa Mbalawa alisema kuwa pamoja na changamoto hizo lakini yeye mwenyewe alijionea  changamoto nyingine ambayo ni Shule ya Msingi Tumaini ambayo imejengwa karibu na uwanja huo jambo ambalo linahatarisha maisha ya wanafunzi pia na ndege wakati wa kuruka au kutua. Alisema kuwa uwanja huo una urefu wa kilometa 1.5 lakini unatakiwa kungezwa urefu kidogo  kwajili ya usalama (buffer zone). Shule hiyo tayari inajengwa sehemu nyingine ili kupisha uwanja huo.

Katika hatua nyingine Professa Mbalawa alisema katika ziara yake atatembelea Bandari ya Bukoba na Kemondo ili kujionea miundombinu ya Bandari hizo. “Serikali ina mpango wa kununua meli ya kisasa ambayo itakuwa inatumika katika Ziwa Victoria kutoka Mwanza kuja Bukoba lakini lazima nijue kwanza miundombinu ya Bandari zetu isijekutokea kuwa Meli hiyo imefikishwa hapa halafu ikashindwa kufanya kazi kutokana na kutoendana na miundombinu ya bandari zetu kama kina cha maji au maegesho ya meli hiyo.” Alisistiza Professa Mbalawa

Tayari Waziri huyo wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Professa Mbalawa ametembelea Uwanja wa Ndege wa Bukoba, TTCL, TEMESA na Shirika la Posta Kagera . Aidha atatembelea na kukagua Barabara ya Kyaka Bugene na Kivuko cha Kyenyabasa Wilayani Bukoba pia ataongea na wananchi ili kupata mrejesho wa huduma zinazotolewa na Wizara yake.

Announcements

  • No records found
  • View All

Latest News

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • View All

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
More Videos

Quick Links

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Radio Stations in Kagera Region
  • Kagera Regional Commissioners Since Independence 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • National Bureau of Statistics (NBS)
  • Government of Tanzania Website
  • Open Data Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Postal Address: S.L.P 299 BUKOBA

    Telephone: 255 28 2220215/17

    Mobile:

    Email: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Hakimiliki

Copyright ©2017 GWF . All rights reserved.