- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa Kanali Yahya Ramadhaini Kido awasili ofisini na kupokelewa na Watumishi ambapo alitumia nafasi hiyo kusaini kitabu cha wageni ofisini kwake.
Ikumbukwe kuwa Kanali Yahya Ramadhani Kido aliteuliwa tarehe 6 Februari, 2026 na kuapishwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 9 Februari, 2026 na kuwa Mkuu Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa 27
Aidha, Kanali Kido aliwasili Mkoani Kagera tarehe 11 Februari, 2026 na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa Mkoa. Februari 12, 2026 alipokelewa na watumishi katika ofisi yake na kusaini kitabu cha wageni.
Tarehe 13 Februari, 2026 Kanali Yahya Ramadhani Kido atakabidhiwa ofisi na mtangulizi wake Hajjat Fatma Abukar Mwassa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mstaafu.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa