• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Picha ya Pamoja Mkuu wa Wilaya ya Bukoba na Wadau wa Mpango wa USAID Boresha Afya Kukabidhi Vifaa vya Afya Kagera

Imewekwa : August 21st, 2017

Serikali Mkoani Kagera Yapokea Vifaa Vya Afya Vyenye Thamani ya Milioni Kumi Kutoka Mpango wa Usaid Boresha Afya

Serikali Mkoani Kagera yapokea vifaa vya Afya vyenye thamani ya shilingi Milioni Kumi kutoka kwa wadau wa maendeleo wa mpango wa USAID Boresha Afya ambao ni wadau muhimu katika Sekta ya Afya kwa Mkoa wa Kagera.

Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Meneja wa mpango wa USAID Boresha Afya Mkoa wa Kagera Bw.Charles Kato katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Agosti 21, 2017 ambapo vilipokelwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Jenerali Mstaafu Salum M. Kijuu.

Akikabidhi vifaa hivyo Bw. Kato alisema ni mahsusi kwa kituo cha Afya Kabyaile ambacho kimejengwa upya na Serikali baada ya kile cha awali kuharibiwa na Tetemeko la Ardhi mwaka jana Septemba 10, 2017.

Aidha, Dk. Kato alisema kuwa vifaa vimetolewa na Mpango wa USAID Boresha Afya ambao unatekelezwa katika Wilaya ya zote za Mkoa wa Kagera. “Mpango huu wenye malengo ya kuchangia juhudi za Serikali za kuboresha Afya ya Mama na mtoto  unafadhiliwa na USAID na PATH pamoja na Serikali.” Alifafanua Bw. Kato

Pia Bw. Kato alisema kuwa vifaa hivyo vimetolewa kwa lengo la kuchangia mikakati ya Serikali ya kuhakikisha kituo kipya cha Kabyaile kinatoa huduma bora hasa kwa wakina mama na watoto.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Bukoba Deodatus Kinawilo kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera aliwashukuru wadau hao waliotoa vifaa hivyo na kusema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana nao ili kuboresha huduma za wananchi hasa wakina mama na watoto katika Mkoa wa Kagera.

Kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Deodatus Kinawilo alikabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Denice Mwila ambaye naye alitoa shukrani za Wilaya yake kwa USAID Boresha Afya  kuwa wamekuwa wadau wapili kutoa msaada wao katika Kituo cha Kabyaile baada ya Benki ya NMB nao kutoa msaada wao na kutoa wito kwa wadau wngine kujitolea.

Vifaa vilivyotolewa ni Seti moja ya vifaa vya upasuaji wakati wa kujifungua, Seti moja ya vifaa vya kuzalisha, Mashine moja ya utakasaji wa vifaa, Seti mbili za kumsaidia mtoto kupumulia na kitanda kimo cha kujifungulia.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa