• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

Imewekwa : December 8th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge awataka wananchi mkoani Kagera kuendelea kushikamana na kuilinda amani ya Tanzania kama ilivyokuwa tangu Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 hadi sasa mwaka 2021 Tanzania inapoadhimisha miaka 60 ya uhuru bila kuwa na mvurugano wala uvunjifu wa amani wa kuligawa taiafa la Tanzania.

Hayo yalisemwa na Profesa Faustin Kamzora ambaye alimwakilisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania wakati akiwahutubia wananchi mkoani kagera yaliyoadhimishwa Kimkoa katika Uwanja wa Uhuru Manispaa ya Bukoba Desemba 8, 2021.

“Katika mambo yoote ambayo tunaweza kujivunia katika mkoa wetu wa Kagera na taifa kwa ujumla ni kuendelea kuishi katika hali ya amani na utulivu bila kupigana au kuwa na vitendo hatarishi vya kuvunja amani na mshikamano wetu kama watanzania, naomba wote tujipongeze na tuendelee kuitunza amani kama tulivyoanza wakati wa kupata uhuru mwaka 1961 alisema Profesa Kamzora kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera”.

Aidha, katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa Charles Mbuge alisema kuwa pamoja na mkoa wa Kagera kupitia changamoto nyingi tangu uhuru mwaka 1961 za majanga ya magonjwa, Tetemeko, Ajali ya Meli na Ukame lakini Mkoa umepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama barabara, usafiri wa angina majini,Sekta za  kilimo, Elimu, Uchumi na bado kagera inazidi kusonga mbele.

Wito wa Mkuu wa Mkoa Charles Mbuge ni kuona wanakagera wanaendelea kuchapa kazi na kukuza uchumi zaidi na kuzilinda afya zao ilikuweza  kufika miaka 100 ya uhuru wa Tanzania. Kilele cha Maadhimisho ya uhuru nchini huadhimishwa kila mwaka  Desemba 9, na Mwaka huu 2021 mikoa imeadhimisha kilele cha maadhimisho ya Uhuru Desesmba 8, ili kutoa mwanya wa Sherehe za Kitaifa zitakazoadhimishwa kitaifa Desemba 8, 2021

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa