• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Waziri Dkt. Augustine Mahiga (Kulia) Akiwa Katika Picha ya Pamoja na Balozi Mteule wa Uganda Nchini Tanzania Richard Kabonelo Mara Baada ya Nakala za Hati za Utambulisho Wake Kupokelewa Mkoani Kagera.

Imewekwa : July 29th, 2017

Waziri Mahiga Apokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Uganda Nchini Tanzani Mkoani Kagera

  • Kikao cha Ujirani Mwema Kati ya Tanzania na Uganda chafanyia Mjini Bukoba 

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano  wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga akiwa Mkoani Kagera apokea nakala za hati za utambulisho za Balozi Mteule wa Uganda nchini Tanzania Richard Kabonelo ` ambaye anachukua nafasi ya Balozi aliyemaliza muda wake Doroth Hyuha.

Waziri Mahiga mara baada ya kupokea nakala za hati za utambulisho za Balozi Mteule Richard Kabonelo alisema zoezi hilo limefanyika kwa mara ya kwanza nchini mkoani ambapo limefanyika hapa  Kagera ambapo mara zote hufanyika Jijini Dar es Salaam.

Balozi Mteule kabla ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani kwanza huwasilisha nakala za hati hizo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambapo Balozi Mteule Richard Kabonelo anatarajia kuwasilisha hati za utambulisho kwa  Rais Magufuli tarehe 01.08.2017

Aidha Waziri Mahiga alitumia nafasi hiyo kueleza juu ya mkutano wa ujirani mwema kati ya Tanzania na Uganda ambao unafanyika leo Julai 29, 2017 katika Hoteli ya ELCT Bukoba  ambapo  upande wa Tanzania unawakilishwa na wajumbe 42 na kuongozwa na yeye Waziri Mahiga na Upande wa Uganda wenye wajumbe 35 unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Sam Kutesa.

Kabla ya Mkutano wa Mawaziri Julai 29, 2017 upande wa Tanzania Ukiongozwa na  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Likuvi ulitembelea mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Kakunyu na Mtukula na kutembelea mawe namba 27, 28, 29 ya mipaka na kuona changamoto zake na kuongea na wananchi  wan chi mbili wanaoishi karibu na mpaka huo.

Waziri Mahiga akitoa ufafanuzi alisema kuwa mpaka huo uliwekwa na Wakoloni mwaka 1902 zaidi ya miaka 100 iliyopita na kadri miaka inavyoendelea watu wanazidi kuongezeka pamoja na mifugo jamabo amabalo linapelekea kuwepo kwa changamoto za uhamiaji haramu na mifugo kuingia nchini kuharibu mazingira.

Aidha, Waziri Mahiga alisema kuwa mipaka iliyowekwa na wakoloni kwenye ramani  ni mistari iliyochorwa lakini kihuhalisia kuna changamoto mipaka hiyo ilipo kwenye ardhi. “Tunataka kuweka alama nyingi za mipaka ili ionekne wazi japo kuwa sisi ni Wanajumuiya ya Afrika Mashariki lakini lazima mipaka yetu ionekane na iendelee kuheshimika.” Alifafanua  Waziri Mahiga.

Baada ya Mkutano wa leo Julai 29, 2017 Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi mbili Tanzania na Uganda wanatarajia kusaini makubaliano ambapo Makatibu Wakuu wa Wizara kutoka Tanzania na Uganda tayari wamefanya  vikao kwa  siku tatu na kuwasilisha mapendekezo yao kwa Mawaziri ambayo yakikubalika pande zote mbili yanasainiwa kama makubaliano rasmi.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa