- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Wilaya
- Halmashauri
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MPANGO WA UKARABATI WA VITUO VYA AFYA MKOANI KAGERA ILI VITOE HUDUMA YA UPASUAJI WA DHARURA KWA WAGONJWA
Chini ya ukarabati wa Vituo vya Afya, Mkoa wa Kagera umepokea jumla ya Shilingi Bilioni 3.5 kwa ajili ya ukarabati wa Vituo vya Afya 8 ili viweze kutoa huduma ya upasuaji wa dhaarura. Fedha zilizopokelewa kwa kila Halmashauri ni Kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini. Muda wa utekelezaji kwa vituo vyote nane ni Aprili 30, 2018.
Na.
|
HALMASHAURI
|
JINA LA KITUO
|
KIASI CHA FEDHA |
CHANZO CHA FEDHA |
MWISHO WA UTEKELEZAJI |
1.
|
NGARA
|
MURUSAGAMBA
|
400,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
2.
|
NGARA
|
MABAWE
|
400,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
3.
|
BUKOBA DC
|
KISHANJE
|
400,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
4.
|
BUKOBA DC
|
KATORO
|
500,000,000.00 |
DENMARK, GAWIO LA CRDB |
30.04.2018 |
5.
|
MULEBA
|
KIMEYA
|
400,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
6.
|
KYERWA
|
MURONGO
|
400,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
7.
|
BIHARAMULO
|
NYAKANAZI
|
500,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
8.
|
KARAGWE
|
KAYANGA
|
500,000,000.00 |
BENKI YA DUNIA |
30.04.2018 |
JUMLA
|
3,500,000,000.00 |
|
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera
Anwani: S.L.P 299 BUKOBA
Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa