• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Mamlaka za Serikali za Mitaa
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Maji
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Mgogoro wa Wananchi wa Rutoro na Wawekezaji Katika Vitalu Vya Ufugaji Kagoma Wilayani Muleba Kumalizwa Haraka na Rc Gagurti

Imewekwa : September 6th, 2018

Mkuu wa Mkoa Brigedia Marco E. Gaguti awahidi wananchi wa Rutoro Wilayani Muleba ambao ni wakulima kushughulikia haraka migogoro ya ardhi kati yao na Wawekezaji wenye vitalu katika Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Mkoani Kagera ili wawekezaji waweze kufuga kwa tija na wakulima waendeshe kilimo chao bila kuingiliana na wawekezaji ambao ni wafugaji.

Mkuu wa Mkoa Gaguti alitoa ahadi hiyo Septemba 6, 2018 akitembelea vitalu vya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kikurula Wilayani Karagwe na Kagoma Wilayani Muleba ambapo alikagua uwekezaji wa NARCO eneo la Kikurula na kukutana na wananchi wa Rutoro ambao wana mgogoro wa muda mrefu na wawekezaji ambao walipewa vitalu na Serikali kuendesha ufugaji wa kisasa na baadhi ya vitalu hivyo kuvamiwa na wananchi hao.

Wanachi wa Rutoro wakitoa malalamiko yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera walidai kuwa wanashindwa kuendeleza maeneo yao ya kilimo kutokana na Serikali kutomaliza mgogogro kati yao na Wawekezaji ambao ni wafugaji na mgogoro huo umedumu kwa takribani miaka kumi na miwili toka mwaka 2006 hadi sasa.

Baada ya kusikiliza malalamiko hayo kutoka kwa wananchi na kutembelea Vitalu vya wawekezaji ambao ni wafugaji Mkuu wa Mkoa Gaguti aliwaeleza wananchi wa Rutoro pamoja na Wawekezaji kuwa alikwenda maeneo hayo kujifunza, kuona na kusikia mwenyewe juu ya mgogoro huo ili autafutie ufumbuzi wa haraka  ili kila upande uendelee na shughuli zake za kulijenga taifa.

Katika hatua nyingine Meneja wa Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Mkoani Kagera Bw. Mashaka Mlonge alimweleza Mkuu wa Mkoa kuwa NARCO sasa inafanya tathimini upya kuona wawekezaji ambao hawajawekeza na kuviendeleza vitalu vyao kama walivyokubaliana na Serikali ambapo tayari Vitalu vitano kati ya 54 vilivyopo Mkoani Kagera Wawekezaji wake wamepewa “notice” ya kuachia vitalu hivyo.

Matangazo

  • Online Content - inception report for CSA training programme in Kagera region August 19, 2022
  • Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kuhitimishwa Mkoani Kagera Oktoba 14, 2022 August 23, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mkoa wa Kagera Wapokea Magari Matano Kusaidi Kufanikisha Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

    August 24, 2022
  • Mkuu wa Mkoa Chamila Akagua Miradi na Kuongea na Makarani Wa Sensa ya Watu na Makazi Kagera

    August 23, 2022
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Tazama zote

Video

Kijue Chuo Kipya cha Kisasa cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Kagera Kazi Inaendelea.....
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa