• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Mkoa wa Kagera Wazindua Rasmi Vitambulisho vya Taifa kwa Waatumishi wa Umma

Imewekwa : April 26th, 2017

Hatimaye Mkoa wa Kagera wazindua rasmi vitambulisho vya taifa  kwa watumishi 22,771 ambao ni sawa na asilimia 98% ya watumishi wote wa mkoa walioandikishwa na NIDA  kama awamu ya kwanza ya utangulizi ili kuandaa uandikishaji kwa wananchi wote wa mkoa wa Kagera.

Akitoa taarifa Afisa Msajili wa NIDA mkoa wa Kagera Bw. Hassan M.Godigudi alisema kuwa katika Mkoa wa Kagera una jumla ya watumishi 23,190 ambapo kati ya hao  waliosajiliwa ni 22,771 sawa na asilimia 98%  jambo ambalo ni mafanikio makubwa ya uandikishaji.

Aidha, Bw. Hassan alisema dhumuni kuu kuanza usajili wa vitambulisho vya Taifa  kwa watumishi wa  umma ulilenga watumishi hao kuwa mabalozi wazuri na waelimishaji wa wananchi juu ya kujisajili kupata vitambulisho vya taifa ambapo watakaoruhusiwa kujisajili ni raia wa Tanzania tu na wenye umri wa kuanzia miaka 18 na kuendelea.

Pia Bw. Hassan alisema kuwa kitambulisho cha Taifa kuna faida nyingi kwa mwananchi yeyote katika kutatua masuala mbalimbali kama kupata mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha  pia na kuwa na utambulisho halali na wa kudumu sehemu mbalimbali za ndani ya nchi na nje ya nchi.

Vilevile Bw. Hassan  aliomba vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Mkoa wa Kagera  chini ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Kagera kuhakikisha wanasimamia uandikishaji wa wananchi amabao ni raia wa Tanzania tu  ili kuepuka uandikishaji watu ambao sio raia wa Tanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum M. kijuu akizindua vitambulisho hivyo vya taifa kwa Mkoa wa Kagera aliwapongeza NIDA kusajili watumishi wa umma kwa asilimia 98% na kusema kuwa jambo hilo ni mafanikio makubwa aidha, alitoa wito kwa wananchi kuchangamkia fursa hiyo wakati ukifika.

Mhe. Kijuu alisema kuwa kwasababu Mkoa wa Kagera  upo mpakani na nchi nyingine atahakikisha kuwa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama vinasimamia kwa karibu sana zoezi la uandikishaji ili kuepukana na kuandikishaji na utoaji wa  vitambulisho vya Taifa kwa watu wasiokuwa raia wa Tanzania au wale ambao hawajafikisha umri wa miaka 18 na kuendelea.

Mkuu wa Mkoa Kijuu pia alisema kuwa uzinduzi huo siyo kwamba ndiyo  mwisho wa utoaji wa vitambuklisho vya taifa bali ndio mwanzo wa uandikishaji wa wananchi kupata vitambulisho vya taifa. Pia alitoa wito kwa wananchi kuwa wazalendo wakati wa uandikishaji kujitokeza na kuwabaini wasio raia. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 5, 2017 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa