• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Mamlaka za Serikali za Mitaa
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Maji
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Wananchi Wafurahia Huduma za Kituo Cha Afya Nyakanazi Baada ya Serikali Kukiboresha Kituo Hicho Kwa Gharama ya Zaidi ya Shilingi Milioni 500

Imewekwa : September 7th, 2018

Wananchi wa Nyakanazi Wilayani Biharamulo waanza kunufaika na Kituo cha Afya Nyakanazi baada ya Serikali kutoa Shilingi milioni 500 za kuboresha na kukarabati Kituo hicho kinachotoa huduma za afya kwa wananchi 19,172 ambapo uongozi wa Halmashauri kwa kushirikiana na wananchi wameweza kujenga majengo mapya na kukarabati ya zamani ili kuboresha huduma za afya katika jamii hiyo.

Ushuhuda huo ulitolewa na akina mama wazazi katika wodi ya wazazi kituoni hapo mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti kufika kituoni hapo Septemba 7, 2018 kutembelea na kukagua ubora wa majengo yaliyojengwa  lakini pia thamani ya fedha za Serikali katika ujenzi huo.

Kwa niaba ya akina mama wazazi waliokuwa wamepumzishwa katika wodi ya wazazi mara baada ya kujifungua vichanga vyao  Bi Schola Elias (30) alimweleza Mkuu wa Mkoa Gaguti kuwa wanafurahia huduma za kituo hicho kwa kuboreka baada ya Serikali ya kuleta fedha za kujenga majengo mapya hasa chumba cha kujifungulia akina mama wajawazito na wodi ya wazazi pia  na ukarabati majengo ya zamani.

“Kipindi cha nyuma chumba cha kujifungulia kilikuwa na vitanda vya wazazi viwili tu jambo liloleta usumbufu mkubwa sana lakini baada ya ujenzi mpya kuna vitanada vitano jambo ambalo linapelekea hata sisi akina mama wajawazito watano tunaweza kujifungua kwa wakati mmoja. Aidha, wodi yetu ya zamani ilikuwa ina vitanda vinane tu lakini sasa kama unavyoona kuna vitanda vya kupumzikia baada ya kujifungua 25 na tunapuzishwa baada ya kujifungua hakuna mama anakosa kitanda.” Alieleza Bi Schola  

Usiku wa kuamkia Septemba 7, 2018 hadi Mkuu wa Mkoa Gaguti alipowasili katika Kituo hicho majira ya saa 8:00 mchana walikuwa wamejifungua akina mama tisa watoto wa kike wakiwa sita na wa kiume wakiwa watatu. Katika hatua nyingine Bi Pili Ndamulo Afisa Muuguzi Msaidizi ambaye ni msimamizi wa wodi ya wazazi katika Kituo hicho alisema kuwa wastani kwa wiki wanajifungua akina mama 30 hadi 40 na kwa mwezi ni akina mama 100 hadi 120.

Naye Mkuu wa Mkoa Gaguti akiongea na wananchi katika Kituo cha Nyakanazi mara baada ya kukikagua aliwataka wananchi hao kukitunza Kituo hicho, Pili aliwataka watumishi katika kutoa huduma zinazoendana na ubora wa majengo ya Kituo, Tatu wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa EBORA kwani Nyakanazi inazo njia kuu mbili zinazoelekea nchi jirani za Burundi, Rwanda na Kongo DRC, Mwisho aliwataka wananchi wote kujiunga na bima ya afya kwajili ya matibabu yao.

Majengo yaliyojengwa katika Kituo cha Afya Nyakanazi ni pamoja na Wodi ya Watoto, Wodi ya Akina Mama Wazazi, Nyumba ya Watumishi wawili, Chumba cha kuhifdhia maiti, Jengo la kujifungulia,  Njia za kutembelea na Kichomea taka. Aidha, majengo yaliyokarabaitiwa ni pamoja na jengo la wagojwa wa nje, Jengo la upasuaji na Mahabara. Ujenzi huo umefanyika kwa jumla ya zaidi ya shilingi milioni 566 fedha hizo zikijumuisha fedha za Serikali Kuu, Halmashauri ya Wilaya pamoja na Wananchi wa Nyakanazi.

Matangazo

  • Online Content - inception report for CSA training programme in Kagera region August 19, 2022
  • Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kuhitimishwa Mkoani Kagera Oktoba 14, 2022 August 23, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Mkoa wa Kagera Wapokea Magari Matano Kusaidi Kufanikisha Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi

    August 24, 2022
  • Mkuu wa Mkoa Chamila Akagua Miradi na Kuongea na Makarani Wa Sensa ya Watu na Makazi Kagera

    August 23, 2022
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Wanakagera Wakumbushwa Kuendelea Kuilinda Amani ya Tanzania Ili Kufikia Miaka 100 ya Uhuru

    December 08, 2021
  • Tazama zote

Video

Kijue Chuo Kipya cha Kisasa cha Ufundi Stadi VETA Mkoani Kagera Kazi Inaendelea.....
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa