• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Usimamizi Ufuatiliaji na Ukaguzi
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Uwekezaji Viwanda na Biashara
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
        • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

WAZIRI MKUU AWATAKA WAKUU WA MIKOA WOTE KUANDAA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA MKOA

Imewekwa : September 22nd, 2023
  1. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa kuandaa Mafunzo ya uongozi kwa viongozi wa Mikoa sambamba na makongamano ya vijana ili wabaini fursa zilizopo kwenye Mikoa yao.


Akizungumza wakati wa kufunga Mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Mkoa wa Kagera, ukumbi wa ELCT Bukoba Hotel, Mhe. Majaliwa ameeleza kuwa Mhe.  Dkt. Philipo Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati ufunguzi wa Kongamano la Vijana wa Mkoa wa Dodoma alitoa maelekezo kwa Wakuu wa Mikoa wote kuandaa makongamano ya Vijana ili vijana wakutane wabainishiwe fursa na wafundishwe namna ya kutumia fursa zilizopo kwenye maeneo yao


"Nami niungane na Mheshimiwa Makamu wa Rais kuwataka Wakuu wa Mikoa kuandaa mafunzo haya kama yalivyofanywa leo hapa Kagera kwa watendaji wetu ndani ya Serikali pamoja na kongamano la vijana ikiunganishwa nguvu ya pamoja Mkoa utaenda kwa kasi sana,"ameeleza Mhe. Majaliwa


Pia Mhe. Majaliwa ameainisha maeneo yenye msisitizo ikiwa ni pamoja na kuweka utaratibu wa kufanya tathmini ili kubaini matokeo ya mafunzo hayo,kuwatumikia zaidi wananchi,kuwafuata na kutatua kero zao kuwasikiliza na kupata ufumbuzi wa kero zao hususani kero za ardhi,wafugaji na wakulima


Aidha, amemtaka Mkuu wa Mkoa kuweka mikataba ya utendaji kazi  na wakuu wa idara na vitengo katika Halmashauri zote, viongozi na watumishi kwenda kufanya kazi kwa weledi, kuwa waadilifu na kuepuka vitendo vya rushwa


Ameendelea kueleza kuwa ni matarajio yake kwa muda ambao utakuwa umepangwa wa kutathmini matokeo ya mafunzo hayo ni vema kiongozi mwandamizi wa Taasisi ya Uongozi kuja kusikia kuona matokeo ya semina yake


Akitoa maelezo mafupi juu ya mwelekeo wa Mkoa wa Kagera baada ya Mafunzo hayo, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Fatma Mwassa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwaletea watanzania maendeleo ambapo kwa mwaka wa fedha 2023/24 Mkoa wa Kagera umepokea takribani ya Tsh. bilioni 281.3 ambazo zimepokelewa Halmashauri na Sekretarieti ya Mkoa, TARURA, TANROAD, RUWASA, TANESCO na REA.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera Yaridhia Jimbo la Uchaguzi la Nkenge Kuitwa Jimbo la Uchaguzi Missenyi

    March 17, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Mwassa Awashukuru Wabunge Kupitisha Fedha za Miradi ya Mapinduzi ya Kiuchumi Kagera

    March 14, 2025
  • Viongozi wa Dini Wahimizwa Kudumisha Mshikamano Ili Kukuza Uchumi wa Mkoa wa Kagera – RC Mwassa

    March 14, 2025
  • TULIPE KODI-RC MWASSA

    October 07, 2023
  • Tazama zote

Video

KAGERA REGION DOCUMENTARY
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa