Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Akizindua Rasmi Wiki ya Uwekezaji Kagera pia Alizindua Mwongozo wa Uwekezaji Kagera Pamoja na Kongamano la Uwekezaji Kagera.
"Kagera: Eneo la Kimkakati kwa Uchumi Wetu na Afrika Mashariki"
Wananchi wote na wadau mbalimbali mnakaribishwa katika wiki ya Uwekezaji Kagera Itakayoanza Agosti 12 hadi 17, 2019
Haki zote zimehifadhiwa