• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
KAGERA REGIONAL WEBSITE

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na SerikaliI za Mitaa Mkoa wa Kagera

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Sehemu/Vitengo
      • Sehemu
        • Mamlaka za Serikali za Mitaa
        • Miundombinu
        • Elimu
          • Elimu ya Msingi
          • Elimu ya Sekondari
          • Elimu ya Watu Wazima
          • Elimu ya Juu
          • Michezo
          • Vijana
        • Afya
          • Afya
          • Ustawi wa Jamii
        • Utawala na Rasilimali Watu
        • Mipango na Uratibu
          • Mipango
          • Takwimu
          • Maendeleo ya Jamii
          • TASAF
        • Uchumi na Uzalishaji
          • Kilimo cha Umwagiliaji
          • Viwanda na Biashara
          • Uvuvi
          • Mifugo
          • Maliasili, Utalii na Mazingira
          • Ushirika
          • Kilimo
        • Maji
      • Vitengo
        • TEHAMA
        • Sheria
        • Fedha na Uhasibu
        • Ukaguzi wa Ndani
        • Ugavi
  • Wilaya
    • Bukoba
      • Viongozi wa Bukoba
    • Biharamulo
      • Viongozi wa Biharamulo
    • Karagwe
      • Viongozi wa Karagwe
    • Kyerwa
      • Viongozi wa Kyerwa
    • Missenyi
      • Viongozi wa Missenyi
    • Muleba
      • Viongozi wa Muleba
    • Ngara
      • Viongozi wa Ngara
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Misseny
    • Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Fursa za Ufugaji
    • Fursa za Kilimo
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Jarida
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali

Huduma za Afya



Serikali Mkoani Kagera imeendelea kutoa kipaumbele katika huduma za afya zenye ubora na zinazowafikia wananchi wote ili kuboresha afya zao. Serikali ya Mkoa inatambua umuhimu wa afya bora kwa wananchi wake kwani afya bora ni raslimali muhimu kwa maendeleo. Maendeleo ya Mkoa wetu wa Kagera yataletwa na wananchi wenye afya na wenye uwezo wa kuzalisha mali.

Katika kuhakikisha kuwa wananchi wa Kagera wana afya bora, Serikali imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya kwa kuzingatia sera na miongozo iliyopo.

Sera ya Taifa ambayo imeendelea kutumika katika kuelekeza utoaji wa huduma za afya mkoani Kagera ilipitishwa mwaka 1990. Tangu sera hiyo ilipopitishwa, yamekuwepo mabadiliko mbalimbali ya Kiuchumi na Kijamii, mabadiliko ya Sayansi na Technolojia na kuongezeka kwamagonjwa. Yametokea pia, maelekezo mbalimbali ya Serikali.

Mabadiliko na maelekezo yote haya yanatoa changamoto mpya katika utoaji wa huduma za afya na yamechangia kwa pamoja kuifanya sera iliyopitishwa mwaka 1990 kutokidhi mahitaji na matarajio ya sasa na ya miaka ijayo.

Mfumo na utaratibu wa utoaji huduma unaotumika hivi sasa umebadilika kutokana na mabadiliko yaliyotokea, ikilinganishwa na mfumo uliokuwa unatumika kwa maelekezo ya Sera ya 1990. Mwaka 1996 marekebisho ya sera yalipitishwa kwa lengo la kuanzisha mfumo mpya wa utoaji na uendeshaji wa Huduma za Afya katika ngazi ya Wilaya. Katika marekebisho haya, ushiriki wa sekta binafsi katika utoaji wa afya ulitambuliwa na kupewa msukumo, pia yalikasimu usimamizi wa utekelezaji katika mamlaka za Serikali za Mitaa na hivyo kuongeza ushiriki wa wananchi katika kusimamia na kumiliki raslimali za afya.

Mabadiliko haya yamelazimu kufanyia mapitio Sera ya mwaka 1990, na yamezingatia Sera na mikakati mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Sera na mikakati hiyo ni pamoja na Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025, Malengo ya Maendeleo ya Milenia na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umasikini (MKUKUTA).

Sera ya afya ya mwaka 1990 iliyopitiwa mwaka 2007, imeweka bayana dira, makusudio, maelekezo ya Serikali katika mfumo wa matamko, mabadiliko ya kiuchumi na kijamii, matokeo ya tafiti na majaribio na uzoefu katika utoaji wa huduma. Aidha, utayarishaji wa sera hii umekuwa shirikishi kwa Wizara kuwashirikisha wadau mbalimbali wanaotoa na kutumia huduma za afya katika kupitia Sera ya 1990.

Jukumu la wadau wote wa Sekta ya Afya ni kusoma, kuielewa na kutafsiri matamko yaliyomo katika sera hii wakati wa kupanga, kutoa na kutathmini Huduma za Afya nchini.

Wizara inatoa shukrani kwa wadau wote walioshiriki kutoa maoni yao na hivyo kukamilisha Sera hii. Nina imani kuwa wadau katika ngazi zote watashiriki kikamilifu katika kutekeleza Sera hii kwa lengo la kuboresha huduma za afya kote nchini.


LENGO LA HUDUMA ZA AFYA MKOANI KAGERA

Lengo la Huduma za Afya Mkoani Kagera ni kuwezesha utoaji wa Afya ya Kinga, Tiba, Maendeleo ya Afya na Ustawi wa Jamii kwenye Mkoa. Aidha, Mkoa unafanya kazi ya kuratibu na kushauri juu utekelezaji wa Sera ya Afya kwenye Mkoa kamailivyofafanuliwa hapo juu.

Pili ni kufuatilia na kusimamia watoa huduma za afya zinazotolewa na Serikali na Sekta binafsi ambapo Mkoa wa Kagera unatoa Huduma za Afya katika Vituo vya kutolea Huduma 291. Zahanati zikiwa 246, Vituo vya Afya 31, na Hospitali 14. Tatu, ni kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika utoaji wa Huduma za Afya kwa Wananchi. Nne, ni Kutoa msaada wa kitaalam kipindi cha milipuko ya magonjwa. Mwisho ni kutoa ushauri wa kitaalam katika mipango ya kukabiliana na Ugonjwa wa UKIMWI kwenye Mkoa.


Matangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Ziara ya Rais Magufuli Mkoani Kagera Yatoa Mwangaza na Njia ya Kukuza Uchumi wa Mkoa na Taifa la Tanzania

    January 23, 2021
  • Wakuu wa Mikoa ya Kagera na Mtwara Watembelea Miradi Mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano Mkoani Dar es Salaam.

    December 19, 2020
  • Meli ya New Victoria Yatia Nanga Katika Bandari ya Bukoba Wananchi Wajitokeza Kwa Wingi Kuipokea Meli Yao

    June 28, 2020
  • Msimu wa Kahawa Kagera Wafunguliwa Rasmi Wakulima Kulipwa Ndani ya Saa 48 Serikali Kusimamia Haki Zao

    June 09, 2020
  • Tazama zote

Video

Mkuu wa Mkoa wa Brigedia Jenerali Marco E. Gaguti Akimkaribisha Rais Magufu Mkoani Kagera Katika Ziara ya Siku Mbili Januari 18-19, 2021
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Taratibu za biashara ya ndani
  • Barabara Kuu na ndogo za Mkoa
  • Vituo vya Redio Katika Mkoa wa Kagera
  • Wakuu wa Mkoa wa Kagera Tangu Uhuru Mwaka 1961
  • Matokeo ya Darasa la VII 2018, Wanafunzi 10 Bora, Shule 10 Bora, Watakaojiunga Kidato cha I, 2019
  • Kitabu cha Mwongozo wa Uwekezaji Kagera 2019
  • FOMU YA USAJILI WA WAFANYABIASAHARA NA WADAU WA MKOA WA KAGERA, ZIARA YA KUTEMBELEA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA KATI KWA LENGO LA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA NA UWEKEZAJI NOVEMBER, 2019.

Tovuti Mashuhuri

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Takwimu ya Taifa
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Takwimu Huria

Wafuatiliaji Kimataifa

world map hits counter

Kaunta ya Wageni

free HitCounter

Ramani Elekezi

Wasiliana Nasi

    Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kagera

    Anwani: S.L.P 299 BUKOBA

    Simu ya Mezani: 255 28 2220215/17

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras.kagera@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu
    • Hakimiliki

Haki zote zimehifadhiwa