JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA MKUU WA MKOA KAGERA
     
     
 
 .: Muundo wa Kiutawala
 .: Yanayotuhusu & Anuani
 .: Dhima & Dira
 .: Miradi & Program
 .: Teknohama (ICT)
 .: Ustawi wa Jamii
 .: Mipango
 .: Serikali za Mitaa
 .: Kilimo na Mifugo
 .: Maliasili na Mazingira
 .: Elimu
 .: Afya
 .: Maji
 .: Vijana
.: Michezo
 .: Ushirika
 .: Viwanda na Biashara
 .:MiundoMbinu
 .: Kilimo cha Umwagiliaji
 .: Jamii, Jinsia & Watoto
 .: BUKOBA DC
 .: BUKOBA MANISPAA
 .:MULEBA
 .: NGARA
 .: MISENYI
 .:KARAGWE
.: KYERWA
.: BIHARAMULO

 

 
 
Mkoa wa Kagera unapatikana kaskazini magharibi mwa nchi ya Tanzania. Makao makuu ya mkoa yapo katika mji wa Bukoba umbali wa kilometa 1500 kutoka Dar es Salaam, mkoa huu unapakana na nchi ya Uganda kwa kaskazini, Rwanda na Burundi kwa upande wa magharibi mkoa wa Kigoma, Mwanza kwa upande wa kusini na ziwa Victoria kwa upande wa mashariki. 

Bonyeza hapa kusoma zaidi ...  
 

MARAIS WA TANZANIA NA BURUNDI WAZINDUA UIMARISHWAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA KIJIJI CHA MUGIKOMERO MKOANI KAGERA

 
 

Picha ni Mheshimiwa Rais Kikwete (Kulia) akipongezana na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza mara baada ya kuzindua rasmi uimarishaji wa mpaka kati ya Tanzania na Burundi. Uzinduzi huo ulifanyika katika kijiji cha Mugikomero Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera-Tanzania.

.

 

 
Bofya hapa kwa habari za uwekezaji Kanda ya Ziwa
Bofya hapa kupata Kagera Regional Investment Profile
Bofya hapa kwa tangazo la zabuni mbalimbali Kyerwa
Bofya hapa kupata utaratibu wa uhamisho kwa watumishi wa MSM
Bofya hapa kupata taarifa za ujenzi wa majengo Kagera
Bofya hapa kupata kupata taarifa ya hali ya Barabara Kagera

Mawe ya dhahabu yazalishwa Kagera na Watanzania

 
 
 
 
 
 
 
 
HABARI NYINGINE  
 
 

Mwenge wa Uhuru waendelea kuzindua miradi ya maendeleo Kagera

 
Mkoa Kagera wakamilisha maandalizi ya uzinduzi wa mbio za mwenge kitaifa 2014