Imewekwa : October 7th, 2023
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanzisha kampeni ya TUWAJIBIKE yenye lengo la kuwahimiza wafanyabiashara kutumia mashine za risiti za kieletroniki ili kukuza maendeleo kupitia kodi
...
Imewekwa : October 6th, 2023
Kampuni ya Kahama Fresh inayomiliki Kiwanda cha kusindika maziwa na shamba la mifugo imeunga mkono Programu ya BBT(Building Better Tomorrow) kwa kutoa ng'ombe wa maziwa (mitamba) watano (5) kwa kikund...
Imewekwa : September 29th, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali nchini kwenda kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kutoa huduma,kusikiliza kero zao na kuzitatua
...