Imewekwa : March 5th, 2019
“Kama kuna mwananchi, kundi la watu, baadhi ya wanachama wa Vyama vya Ushirika au kiongozi yeyote ana wazo la kukigawa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Karagwe na Kyerwa Development Co-operative...
Imewekwa : March 1st, 2019
Katika kuhakikisha azma yake ya kuufanya Mkoa wa Kagera unakuwa kinara katika ukusanyaji wa kodi kwa asilimia 100% kama ambavyo alitangaza mwezi Januari 11, 2019 kuwa mwaka 2019 utakuwa mwaka wa Kodi ...
Imewekwa : February 28th, 2019
Mkoa wa Kagera waendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuimarisha mipaka yake na nchi jirani hasa kulinda ili kukuza uchumi wa mkoa na Taifa kwa ujumla lakini pia kuhakikisha wahamiaji haramu haw...